CONSULTANT: MEDIA, COMMUNICATIONS, ADVOCACY, GENDER. Tell:+255785237302 / +447918170959.
Monday, April 27, 2015
TUZO YA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI (EJAT) JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ahutubia waandishi wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari, iliyofanyika usiku wa April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Kama mgeni rasmi alipata fursa ya kutoa mifano ya hundi kwa washindi mbali mbali katika tamasha hilo, sambamba na kukabidhiwa tuzo kwa washindi katika Nyanja mbali mbali za uandishi.TAMWA kama mdau pia ilikuwa bega kwa bega katika kuwezesha shughuli nzima pamoja na hotuba fupi iliyotolewa na mkurugenzi mtendaji Valerie Msoka.
Location:
Dar es Salaam, Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment