Tuesday, April 28, 2015

Wanafunzi Mwalimu Nyerere Memorial Wampongeza Mkurugenzi TAMWA

Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy wamempongeza Mkurugenzi Mtendaji TAMWA, Bi Valerie N Msoka, kwa kazi yake ya kutetea haki za wanawake na watoto na pia kwa kuteuliwa kuwa Balozi wa kupinga ndoa za utotoni.

Monday, April 27, 2015

TUZO YA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI (EJAT) JIJINI DAR ES SALAAM





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ahutubia waandishi wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari, iliyofanyika usiku wa April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Friday, April 10, 2015

Speaking Out for Girls: CARE Hosts Tanzanian Activist to Discuss Child, Early and Forced Marriage


CARE Canada was pleased to host a special event March 24 featuring Tanzanian activist Valerie Msoka to highlight the issue of child, early and forced marriage.